Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Amekutana na Wajumbe wa Tume ya Mipango Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwaongoza Wajumbe wa Tume ya Mipango kusimama kwa dakika moja kutoa heshima kufuatia kifo cha aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Ndugu Lawrence Mafuru aliyefariki nchini India Novemba 9, 2024 alipokuwa akipatiwa matibabu, kabla ya kuanza kikao leo tarehe 11 Novemba, 2024 Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wajumbe wa Tume ya Mipango leo tarehe 11 Novemba, 2024 Ikulu Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.