Habari za Punde

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla Amefungua Barabara ya Mwera Polisi Hadi Kobonde Mzungu.Ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Hemed Suleiman Abdulla akikata Utepe kuashiria  Ufunguzi wa Barabara ya Mwera Polisi -Mwera Kibonde mzungu .Ikiwa ni shamra shamra za miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar Ikiwa na kaulimbiu "Miaka 61 ya Mapinduzi :Amani Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Hemed Suleiman Abdulla kulia akikunjuwa Kitambaa kuashiria Uwekaji wa Jiwe la Msingi katika hafla ya Ufunguzi wa Barabara ya Mwera Polisi -Mwera Kibonde mzungu .Ikiwa ni shamra shamra za miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar Ikiwa na kaulimbiu "Miaka 61 ya Mapinduzi :Amani Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Hemed Suleiman Abdulla akiwa na Viongozi mbalimbali akitembea kwa Miguu baada ya  Ufunguzi wa Barabara ya Mwera Polisi -Mwera Kibonde mzungu .Ikiwa ni shamra shamra za miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar Ikiwa na kaulimbiu "Miaka 61 ya Mapinduzi :Amani Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu.

Vijana wa Hamasa Mkasi Utaongea wakionesha mabango kuashiria Ufunguzi wa Miradi mbalimbali inayozinduliwa  katika hafla ya Ufunguzi wa Barabara ya Mwera Polisi -Mwera Kibonde mzungu .Ikiwa ni shamra shamra za miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar Ikiwa na kaulimbiu "Miaka 61 ya Mapinduzi :Amani Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu.
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Dk Habiba Hassan Omar akitoa hotuba ya kitaalamu katika hafla ya Ufunguzi wa Barabara ya Mwera Polisi -Mwera Kibonde mzungu .Ikiwa ni shamra shamra za miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar Ikiwa na kaulimbiu "Miaka 61 ya Mapinduzi :Amani Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu.
Waziari wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Dk,Khalid Salum Mohamed akitoa hotuba ya makaribisho katika hafla ya Ufunguzi wa Barabara ya Mwera Polisi -Mwera Kibonde mzungu .Ikiwa ni shamra shamra za miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar Ikiwa na kaulimbiu "Miaka 61 ya Mapinduzi :Amani Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Hemed Suleiman Abdulla akisisitiza jambo wakati akitoa hotuba ya   Ufunguzi wa Barabara ya Mwera Polisi -Mwera Kibonde mzungu .Ikiwa ni shamra shamra za miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar Ikiwa na kaulimbiu "Miaka 61 ya Mapinduzi :Amani Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu.
Baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi waliohudhuria katika hafla ya Ufunguzi wa Barabara ya Mwera Polisi -Mwera Kibonde mzungu .Ikiwa ni shamra shamra za miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar Ikiwa na kaulimbiu "Miaka 61 ya Mapinduzi :Amani Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu.

                                    PichacNA YUSSUF SIMAI.MAELEZO ZANZIBAR.27/12/2024.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.