RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Uchumi ya
Chuo Kikuu cha Zanzibar (Zanzibar University) akitunikiwa na Mkuu wa Chuo Kikuu
cha Zanzibar Mhandisi Dr. Abdulqadir Othman, wakati wa Mahafali ya 22 ya Chuo
hicho yaliyofanyika leo 5-12-2024. Katika viwanja vya Chuo hicho Tunguu Wilaya
ya Kati Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi
akisalimiana na Mkuu wa Chuo cha Zanzibar University Mhandisi Dr. Abdulqadir
Othman alipowasili katika viwanja vya Chuo hicho Tunguu Wilaya ya Kati Unguja, kwa
ajili ya kuhudhuria Mahafali ya 22 yaliyofanyika leo 5-12-2024 na (kushoto
kwake) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Mhe. Ali Suleiman Ameir
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wahitimu wa ZU katika
Maandamano ya Mahafali ya 22 ya Chuo cha Zanzibar University,yaliyofanyika leo
5-12-2024, katika viwanja vya Chuo hicho Tunguu Wilaya ya Kati Unguja na (kulia
kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Mkuu
wa Chuo cha Zanzibar University Mhandisi Dr. Abdulqadir Othman.
WAHITIMU wa Chuo Cha Zanzibar University wakiwa
katika maandamano ya Mahafali ya 22 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo 5-12-2024
katika viwanja vya Chuo Tunguu Wilaya ya Kati Unguja
WAHITIMU wa Chuo Cha Zanzibar University wakiwa
katika maandamano ya Mahafali ya 22 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo 5-12-2024
katika viwanja vya Chuo Tunguu Wilaya ya Kati Unguja
WAHITIMU wa “Degree of Bachelor of Science in
Computer Engineering And Information Technology” wakitunukiwa na Mkuu wa Chuo
Kikuu cha Zanzibar Mhandisi Dr. Abdulqadir Othman.wakati wa Mahafali ya 22 ya
Chuo Kikuu cha Zanzibar (Zanzibar University) yaliyofanyika leo 5-12-2024
katika viwanja vya Chuo hicho Tunguu Wilaya ya Kati Unguja
WAHITIMU wa “Degree of Bachelor of Business
Administration in Accounting and Finance” wakitunukiwa na Mkuu wa Chuo Kikuu
cha Zanzibar Mhandisi Dr. Abdulqadir Othman.wakati wa Mahafali ya 22 ya Chuo
Kikuu cha Zanzibar (Zanzibar University) yaliyofanyika leo 5-12-2024 katika
viwanja vya Chuo hicho Tunguu Wilaya ya Kati Unguja
WAHITIMU wa “Diploma in Nursing and Midwifery”
wakiwa kiapo cha uaminifu wakati wa Mahafali ya 22 ya Chuo Kikuu cha Zanzibar
(Zanzibar University) yaliyofanyika leo 5-12-2024 katika viwanja vya Chuo hicho
Tunguu Wilaya ya Kati Unguja.
MTOTO Abdulrazak Ali Haji akiwa na uwa lake
katika viwanja vya Chuo Kikuu Cha Zanzibar (Zanzibar Universit ) akisubiri
kumkabidhi Kaka yake Rashid Suleiman Bakar, baada ya kutunukiwa Shahada yake
katika Mahafali ya 22 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo 5-12-2024 katika viwanja
vya chuo Tunguu Wilaya ya Kati Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Uchumi ya Chuo Kikuu cha Zanzibar (Zanzibar University) akitunikiwa na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Zanzibar Mhandisi Dr. Abdulqadir Othman, wakati wa Mahafali ya 22 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo 5-12-2024. Katika viwanja vya Chuo hicho Tunguu Wilaya ya Kati Unguja
WAHITIMU wa Chuo cha Zanzibar University (ZU)
wakishangilia wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitunukia Shahada ya Heshima ya Uchumi ya Chuo Kikuu
cha Zanzibar (Zanzibar University) na Chancellor, Zanzibar University. Mhandasi
Dr.Abdulqadir Othman,wakati wa Mahafali ya 22 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo
5-12-2024 katika viwanja vya Chuo hicho Tunguu Wilaya ya Kati Unguja.
No comments:
Post a Comment