RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakijumuika
na Wanavikundi vya mazoezi katika Matembezi ya Afya Zanzibar “ Chagua Mazoezi kuwa
Sehemu ya Maisha Yako” yaliyoazia katika viwanja vya Kiembesamaki Wilaya ya
Magharibi “B”Unguja na kumalizikia katika Uwanja wa Mao Zedung Wilaya ya Mjini
Unguja leo 8-12-2024 (kulia kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed
Mazrui na Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hassan Khamis Hafidh.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (kushoto
kwake) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa ,wakijumuika
na Wanavikundi vya mazoezi Zanzibar katika Matembezi ya Afya Zanzibar “ Chagua
Mazoezi kuwa Sehemu ya Maisha Yako” yaliyoazia katika viwanja vya Kiembesamaki Wilaya
ya Magharibi “B”Unguja na kumalizikia katika Uwanja wa Mao Zedung Wilaya ya
Mjini Unguja na (kulia kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed
Mazrui na Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hassan Khamis Hafidh,
yaliyofanyika leo 8-12-2024
WASHIRIKI wa Matembezi ya Afya Zanzibar “ Chagua
Mazoezi kuwa Sehemu ya Maisha Yako” kutoka Vikundi mbalimbali vya mazoezi
Zanzibar wakimalizia matembezi hayo katika Uwanja wa Mao Zedung Wilaya ya Mjini
Unugja, yaliyoazia katika viwanja vya Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”
Unguja leo 8-12-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa
Kitengo cha Damu Salama Zanzibar Dkt. Masoud Ali Masoud, wakati akitembelea
maonesho ya Afya Zanzibar, baada ya kumaliza matembezi ya Afya Zanzibar “Chagua Mazoezi kuwa Sehemu ya Maisha Yako” katika
uwanja wa Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja leo 8-12-2024 na (kulia kwa Rais)
Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui na (kushoto kwa Rais) Naibu
Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hassan Khamis Hafidh
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Programu
ya Kumaliza Malaria Zanzibar. Shija Joseph Shija, wakati akitembelea maonesho
ya Afya Zanzibar, baada ya kumaliza matembezi ya Afya Zanzibar “Chagua Mazoezi kuwa Sehemu ya Maisha Yako” katika
uwanja wa Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja leo 8-12-2024 na (kulia kwa Rais)
Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui na (kushoto kwa Rais) Naibu
Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hassan Khamis Hafidh
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Msaidizi Meneja Kitengo
cha Maradhi Yasioambukiza (NCD) Zuhura Saleh Amour ar Dkt. Shija Joseph Shija,
wakati akitembelea maonesho ya Afya Zanzibar, baada ya kumaliza matembezi ya Afya Zanzibar “Chagua Mazoezi kuwa Sehemu
ya Maisha Yako” katika uwanja wa Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja leo
8-12-2024 na (kulia kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui na
(kushoto kwa Rais) Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hassan Khamis Hafidh.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwahutubia Wanamichezo wa Vikundi vya
Mazoezi ya Viungo Zanzibar, baada ya kumalizika kwa Matembezi ya Afya Zanzibar “Chagua
Mazoezi kuwa Sehemu ya Maisha Yako” yaliyofanyika leo 8-12-2024, katika viwanja
vya Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja na kumalizika katika Uwanja wa
Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja.

WANAMICHEZO wa Vikundi vya Mazoezi ya Viungo
Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia baada ya kumalizika kwa
Matembezi ya Afya Zanzibar “Chagua Mazoezi kuwa Sehemu ya Maisha Yako” yaliyoazia
katika viwanja vya Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja na kumalizikia
katika viwanja vya Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja leo 8-12-2024

katika viwanja vya Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja leo 8-12-2024.
WANAMICHEZO wa Vikundi vya Mazoezi ya Viungo
Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia baada ya kumalizika kwa
Matembezi ya Afya Zanzibar “Chagua Mazoezi kuwa Sehemu ya Maisha Yako” yaliyoazia
katika viwanja vya Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja na kumalizikia
katika viwanja vya Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja leo 8-12-2024
MKE wa Rais wa Zanzibar na Msarifu na Mwenyekiti
wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mama
Marian Mwinyi (kushoto kwake) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi,akikabidhiwa TUZO maalum ya kuthamini
mchango wake katika Sekta ya Afya Zanzibar, akikabidhiwa na Waziri wa Afya
Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui, baada ya kumalizika kwa Matembezi ya Afya
Zanzibar “Chagua Mazoezi kuwa Sehemu ya Maisha Yako”yaliyomalizikia katika
Viwanja vya Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja leo 8-12-2024
MKE wa Rais wa Zanzibar na Msarifu na Mwenyekiti
wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mama
Marian Mwinyi (kushoto kwake) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi,akikabidhiwa TUZO maalum ya kuthamini
mchango wake katika Sekta ya Afya Zanzibar, akikabidhiwa na Waziri wa Afya
Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui, baada ya kumalizika kwa Matembezi ya Afya
Zanzibar “Chagua Mazoezi kuwa Sehemu ya Maisha Yako”yaliyomalizikia katika
Viwanja vya Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja leo 8-12-2024.
No comments:
Post a Comment