Habari za Punde

Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dk.Khalid Salum Amefungua Kituo cha Kufurahishia Watoto Jambiani Mkoa wa Kusini Unguja.Ikiwa ni Shamrashamra za Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar

Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Dk Khalid Salum Mohamed akipunga Mkono kuashiria furaha baada ya kupanda Pembea ya Ndege  katika hafla ya Ufunguzi wa Kituo cha Kufurahishia Watoto Jambiani Mkoa wa Kusini Unguja Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye kauli mbiu "Miaka 61 ya Mapinduzi :Amani Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu-Mapinduzi Daima.
Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Dk Khalid Salum Mohamed akikunjuwa Kitambaa kuashiria Uwekaji wa Jiwe la Msingi katika hafla ya Ufunguzi wa Kituo cha Kufurahishia Watoto Jambiani Mkoa wa Kusini Unguja Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye kauli mbiu "Miaka 61 ya Mapinduzi :Amani Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu-Mapinduzi Daima.
Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Dk Khalid Salum Mohamed akikata utepe kuashiria Ufunguzi wa Kituo cha Kufurahishia Watoto Jambiani Mkoa wa Kusini Unguja Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye kauli mbiu "Miaka 61 ya Mapinduzi :Amani Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu-Mapinduzi Daima.
Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Dk Khalid Salum Mohamed akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Ayoub Mohamed Mahmoud katika hafla ya Ufunguzi wa Kituo cha Kufurahishia Watoto Jambiani Mkoa wa Kusini Unguja Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye kauli mbiu "Miaka 61 ya Mapinduzi :Amani Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu-Mapinduzi Daima.
Watoto wakifurahia Pembea ya Gari baada ya kufunguliwa Kituo cha Kufurahishia Watoto Jambiani Mkoa wa Kusini Unguja Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye kauli mbiu "Miaka 61 ya Mapinduzi :Amani Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu-Mapinduzi Daima.
Watoto wakifurahia Pembea ya Gari baada ya kufunguliwa Kituo cha Kufurahishia Watoto Jambiani Mkoa wa Kusini Unguja Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye kauli mbiu "Miaka 61 ya Mapinduzi :Amani Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu-Mapinduzi Daima.
                                    
                              PICHA NA YUSSUF SIMAI,MAELEZO ZNAZIBAR,21/12/2024.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.