Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.
Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Shirikisho la
Jamhuri ya Somalia Mhe. Dkt. Hassan Sheikh Mohamud kwenye makazi yake
Ikulu, Jijini Dar es salaam tarehe 29, Januari 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.
Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Shirikisho la
Jamhuri ya Somalia Mhe. Dkt. Hassan Sheikh Mohamud leo kwenye makazi yake
Ikulu, Jijini Dar es salaam tarehe 29, Januari 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Rais wa Shirikisho la Jamhuri ya Somali Mhe.Dkt.Hassan Sheikh Mohamud ,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika kwenye makazi yake Ikulu, Jijini Dar es salaam tarehe 29, Januari 2025.
No comments:
Post a Comment