Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo Maalum ya Kimataifa ya The
Global Goalkeeper Award kutoka kwa Rais wa Kitengo cha Usawa wa Jinsia
kutoka Taasisi ya Gates, Dkt. Anita Zaidi kwenye hafla iliyofanyika katika
Hoteli ya Hyatt Regency Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Februari, 2025. Tuzo
hiyo hutolewa kwa viongozi waliowezesha nchi zao kuharakisha maendeleo kuelekea
kufikia malengo ya maendeleo endelevu. Mhe. Rais Samia amepewa Tuzo hiyo katika
kipengele cha mapambano dhidi ya vifo vya wamama wajawazito na watoto wachanga
chini ya umri wa miaka mitano.

Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali kwenye hafla ya
utoaji wa Tuzo Maalum ya Kimataifa ya The Global Goalkeeper Award
iliyofanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency Jijini Dar es Salaam tarehe 04
Februari, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, Rais wa Kitengo cha Usawa wa Jinsia kutoka Taasisi ya Gates kutoka Marekani Dkt. Anita Zaidi, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama pamoja na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Amani Abeid Karume kwenye hafla ya utoaji wa Tuzo ya Kimataifa ya The Global Goalkeeper Award kutoka Taasisi ya Gates ya Marekani. Hafla hiyo ilifanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Februari, 2025.
No comments:
Post a Comment