Habari za Punde

Ndg.Wasira Amekutana na Kuzungumza na Balozi wa Jamhuri ya Korea Nchini

Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara)Ndg. Stephen M. Wasira, akizungumza na Mhe.Eunju Ahn, Balozi wa Jamhuri wa Korea Nchini, Ofisi  ndogo ya  makao makuu ya CCM Lumumba, Dar es Salaam.

Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg.Stephen M. Wasira amefanya mazungumzo na Mhe.Eunju Ahn, Balozi wa Jamhuri wa Korea Nchini, katika Ofisi  ndogo ya  makao makuu ya CCM Lumumba, Dar es Salaam. Katika mazungumzo hayo, viongozi hao wamebadilishana mawazo katika namna mbalimbali yanayohusu ushirikiano wa nchi ya Tanzania na Korea.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.