MUONEKANI wa jengo la Masjid Al-Maghfirah Nungwi
Bandakuu Kidimni Mkoa wa Kaskazini Unguja, uliyofunguliwa 26-2-2025 na Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuufungua msikiti wa
Masjid Maghfirah Nungwi Bandakuu Kidimni Mkoa wa Kaskazini Unguja 26-2-2025, na kujumuika na Wananchi katika Sala ya Adhuhuri iliyofanyika katika
Masjid hiyo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi wa Nungwi,
wakati wa hafla ya ufunguzi wa Masjid Maghfirah Nungwi Bandakuu Kidimni Mkoa wa
Kaskazini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika 26-2-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi wa Nungwi,
wakati wa hafla ya ufunguzi wa Masjid Maghfirah Nungwi Bandakuu Kidimni Mkoa wa
Kaskazini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika 26-2-2025.
WANANCHI wa Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj
Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia, baada ya
ufunguzi na Sala ya adhuhuri iliyofanyika katika Masjid Maghfirah Nungwi
Bandakuu Kidimni Mkoa wa Kaskazini Unguja uliofanyika 26-2-2025
WANANCHI wa Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj
Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia, baada ya
ufunguzi na Sala ya adhuhuri iliyofanyika katika Masjid Maghfirah Nungwi
Bandakuu Kidimni Mkoa wa Kaskazini Unguja uliofanyika 26-2-2025.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wananchi wa Nungwi katika
kuitikia dua ikisomwa na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Mahmoud Mussa
Wadi(kushoto kwa Rais) baada ya kumalizika kwa hafla ya ufunguzi wa Masjid
Maghfirah Nungwi Bandakuu Kidimni Mkoa wa Kaskazini Unguja 26-2-2025.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Watoto
wa Nungwi, baada ya kumalizika kwa hafla ya ufunguzi wa Masjid Maghfirah Nungwi
Bandakuu Kidimni Mkoa wa Kaskazini Unguja l26-2-2025.
No comments:
Post a Comment