Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Korea Nchini, Mheshimiwa Ahn Enju katika mazungumzo yaliyofanyika kwenye Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, Februari 18, 2025.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi zawadi ya picha ya Twiga, Balozi wa Jamhuri ya Korea Nchini, Mheshimiwa Ahn Enju baada ya mazungumzo yaliyofanyika kwenye Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, Februari 18, 2025.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Jamhuri ya Korea Nchini, Mheshimiwa Ahn Enju baada ya mazungumzo yaliyofanyika kwenye Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, Februari 18, 2025
No comments:
Post a Comment