Habari za Punde

DKT. NCHEMBA ATETA NA UONGOZI WA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI WA AFRIKA MASHARIKI

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi wa Afrika Mashariki (EACOP), Bw. Philippe Groueix, Kando ya Mkutano wa 11 wa Mafuta na Gesi unaozihusisha nchi za Afrika Mashariki unaoendelea katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere, JNICC, Jijini Dar es Salaam, ambapo wamejadiliana kuhusu maendeleo ya ujenzi wa mradi huo. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa EACOP, Bw. Guillaume Dulout.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini. Wizara ya Fedha, Dar es Salaam)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.