Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mjumbe Maalum wa Rais wa Misri Mhe. Badr Abdelatty ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje, Uhamiaji na Wamisri Waishio Nje wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri ( Minister of Foreign Affairs, Emigration and Egyptian Expatriates of the Arab Republic of Egypt ), tarehe 20 Machi, 2025, Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.
Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mjumbe Maalum wa Rais wa Misri Mhe. Badr Abdelatty ambaye
pia ni Waziri wa Mambo ya Nje, Uhamiaji na Wamisri Waishio Nje
wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri ( Minister of Foreign Affairs, Emigration and
Egyptian Expatriates of the Arab Republic of Egypt ), tarehe 20 Machi, 2025,
Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar.

No comments:
Post a Comment