Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Mwinyi Mgeni Rasmin Katika Iftaar ya Vodacom Ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar

Mkurugenzi Mtendaji wa Vidacom Tanzania Philip Besimire akizungumza wakati wa hafla ya Iftaar ya pamoja na Wateja wa Vodacom Zanzibar na Wafanyakazi  iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar, akizungumza na kutowa shukrani.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk,Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom  Philip Besimire alipowasili katika viwanja vya Hotel ya Golden Tulip kuhudhuria Iftaar ya pamoja iliyoandaliwa na Vodacom.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk,Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkurugenzi Tehama wa Vodacom  Athumani Mlinga alipowasili katika viwanja vya Hotel ya Golden Tulip kuhudhuria Iftaar ya pamoja iliyoandaliwa na Vodacom.













 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.