RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali
alipowasili katika viwanja vya Hotel ya Madinat Al Bahr Mbweni Wilaya ya
Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar, kuhudhuria Iftaar ya pamoja iliyoandalia
na Benki Kuu ya Tanzania jana 25-3-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu na Gavana wa
Benki Kuu ya Tanzania Emmanuel Mpawe Tutuba, baada ya kumalizika kwa Iftaar ya
pamoja iliyoandaliwa na Benki Kuu ya Tanzania iliyofanyika katika ukumbi wa
Hotel ya Madinat Al Bahr Mbweni Wilaya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar
jana 25-3-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsalimia Mzee Mwaka Zakuwani Kipanda
mkaazi wa Nyumba za Wazee Welezo Unguja, baada ya kumalizika kwa hafla ya
Iftaar ya pamoja iliyoandaliwa na Benki Kuu ya Tanzania, iliyofanyika katika
ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
Jijini Zanzibar jana 25-3-2025
No comments:
Post a Comment