ن
اللهم صّلِ وسَلّمْ عَلۓِ نَبِيْنَامُحَمد ﷺ
Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Mji Mkongwe (Malindi) (1995—2005) Maalim Muhammad Ibrahim Sanya ametangulia mbele ya haki.
Maziko kesho Jumanne (22/04/2025) Saa Nne Asubuh kwa Wanaume na Wanawake Saa Mbili asubuhi Mkunazini na kuzikwa makaburi ya Sunni Jamaat Kijitoupele, Zanzibar.
اللهم صّلِ وسَلّمْ عَلۓِ نَبِيْنَامُحَمد ﷺ
No comments:
Post a Comment