Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufani Jacobs Mwambegele (mwenye kofia) akiangalia mafunzo kwa vitendo kwa wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi ngazi ya Kata kutoka Halmashauri ya mji wa Tunduma Mkoani Songwe leo Agosti 5,2025. Jaji Mwambegele alitembelea vituo vya mafunzo ya Wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi ikiwa ni maandalizi ya uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 katika Wilaya ya Mbozi na Tunduma Mji mkoani Songwe na Halmashauri ya mji wa Mbeya na Mbeya Vijijini Mkoani Mbeya. (Picha na INEC).
LUKUVI AMSHUKURU RAIS SAMIA KWA KUZIDI KUMUAMINI
-
Na. Mwandishi Wetu-DODOMA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu
Mhe. Willium Lukuvi amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muu...
1 hour ago

No comments:
Post a Comment