6/recent/ticker-posts

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Ambei ni Mgombea Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya CCM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Amezindua Kampeni ya Uchaguzi za CCM Uwanja wa Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar

Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi ambae ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi  (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  akisalimiana na Marais Wastaafu wa Zanzibar Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein na Mhe.Dkt. Amani Abeid Karume, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Chama Cha Mapinduzi, iliyofanyika katika Uwanja wa Mnazi Mmoja Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 13-9-2025.
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Ilani ya Uchaguzi wa Chama Cha Mapinduzi, akikabiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mstaafu Mhe Dkt, Ali Mohamed Shein, wakati wa Uzinduzi wa Mkutano wa Kampeni wa Mgombea Urais wa Zanzibar, mkutano huo uliyofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi ambae ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi  (CCM) Zanzibar akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakiwasalimia Wananchi walipowasili katika viwanja vya Mnazi Mmoja Wilaya ya Mjini Jijini Zanzibar kwa ajli ya hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Chama Cha Mapinduzi, iliyofanyika katika Uwanja wa Mnazi Mmoja Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 13-9-2025.








































Post a Comment

0 Comments