Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambae pia ni Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi na WanaCCM, katika mkutano wake wa Kampeni uliyofanyika katika viwanja vya Mpira Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja, na kuombea Kura kwa Wananchi na kumuombea Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi, Wabunge, Wawakilishi na Madiwani.
KESI YA LISSU YAAHIRISHWA HADI KIKAO KINGINE
-
MAHAKAMA Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imeahirisha kesi ya Mwenyekiti wa
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) hadi itakapopangiwa kikao
kingine (s...
8 hours ago





















No comments:
Post a Comment