Habari za Punde

Mgombea Urais wa Zanzibar Kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Dk.Hussein Mwinyi Azungumza na Waendesha Bodaboda,Wakulima wa Viungo na Wajasiriamali

Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi ambae pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza  leo tarehe 16 Septemba 2025 alipokutana na makundi ya waendesha bodaboda, wakulima wa mazao ya viungo na wajasiriamali wa Shehia ya Mndo, Wilaya ya Magharibi "A" Unguja Mkoa wa Mjini Magharibi.





No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.