tag:blogger.com,1999:blog-7325006544405952039.post113349244316971919..comments2024-03-23T10:29:29.358+03:00Comments on ZanziNews : Muonekano wa Darajani Mpya Ujenzi wa Maduka ya Kisasa zanzinews.comhttp://www.blogger.com/profile/01377285583706843106noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-7325006544405952039.post-64621316080069645632016-08-11T20:27:16.282+03:002016-08-11T20:27:16.282+03:00hiyo ramani naona haifahamiki isije ikawa yale ya ...hiyo ramani naona haifahamiki isije ikawa yale ya uwanja wa ndege tu, SMZ kutapeliwa inaonekana ni kitu rahisi sanaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7325006544405952039.post-6683832427461640162016-08-11T15:22:44.899+03:002016-08-11T15:22:44.899+03:00nimependa ni idea nzuri na ni kweli mji wetu lazim...nimependa ni idea nzuri na ni kweli mji wetu lazima ubadilike, sio tukae na majengo ya zamani tu kisa nini mji wa kihistoria. idea hiyo nadhani inasaidia wageni Zaidi kuliko sisi wenyeji. Wacha tubadilishe mji wetu ili tufaidike sote wageni na wenyeji. Suali langu :: Jee tayari tumeshajipanga na fedha ipo ya kujenga hiyo darajani mpya??? Isijegeuka kule njia ya Fuoni tumefanya haraka ya kuvunja nyumba na kutanua barabara sasa hatma yake twala vumbi na ubovu wa barabara umezidi. Bora tungebaki na ule ule ulimi wa nyoka kuliko huu ulimi wa n'gombe uliopo sasa.<br />Kama hakuna pesa bora tungewaachia wauza tende, chinga na makontena wakaendelea kupata riziki zako wakati tunasubiri fedha. Kama zipo Alhamdulillah twasubiri maendeleo.Anonymousnoreply@blogger.com