tag:blogger.com,1999:blog-7325006544405952039.post4814638415738302081..comments2024-03-23T10:29:29.358+03:00Comments on ZanziNews : Jinsi gani Zanzibar huibiwa mapato kutoka kwenye sekta ya utaliizanzinews.comhttp://www.blogger.com/profile/01377285583706843106noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-7325006544405952039.post-37532476430559444972016-04-14T10:36:59.692+03:002016-04-14T10:36:59.692+03:00Acha hayo magofu yabaki hivyo hivyo, hata yakiporo...Acha hayo magofu yabaki hivyo hivyo, hata yakiporomoka, kwanza hayo yalikua ni majumba ya wamanga ambao walitufanya watumwa!

Hivyo unafikiri SMZ hawayaoni? wanayaona lakini wakifikiri madhila waliyoyapata wakulima na wakwezi wa visiwa hivi wanashinda inawauma!...kuyahudumia ni kutikuza usultani wa kiarabu!

Wakitaka hao watalii waje, wasipotaka basi, kama alivyosema raisi wetu mmpendwa wakati wa kuapishwa " Zanzibar inajiuza yenyewe kwa jina lake" Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7325006544405952039.post-86254000038911304372016-04-14T09:40:33.601+03:002016-04-14T09:40:33.601+03:00Assalamu Alaykum!! Maalim nenda kuangalia vivutio ...Assalamu Alaykum!! Maalim nenda kuangalia vivutio vya watalii kama Betilajaibu hali yake na people palace hali iliyoko! Kupaka rangi wameshindwa licha kufanyia repair!! Au mnasuburi Against khan awapakie rangi! Bustani ya Forodhani inafaa kuwa malishio ya ngo'mbe kwa majani Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7325006544405952039.post-36808247418291114362016-04-12T22:51:54.081+03:002016-04-12T22:51:54.081+03:00Mwandishi acha uchochezi, Z'bar hakuna matatiz...Mwandishi acha uchochezi, Z'bar hakuna matatizo ya aina hiyo na kama yapo tungekwisha yaona.

Taarifa za serikali kupitia vyombo vya khabari( gazeti la mawio na ZBC) zinaonesha mapato ya utalii yanazidi kupanda siku hadi hadi siku!

Na ni kwasababu hiyo Z'bar tunajivunia utalii wetu na ukuaji wa uchumi, pamoja na udogo wetu kijografia na uchache wa rasilimali naamini tunaweza kujitegemea bila ya msaada wa mtu yeyote!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7325006544405952039.post-7820585858392004892016-04-12T15:13:39.767+03:002016-04-12T15:13:39.767+03:00zanziba kuna viongozi mzigo ndio tatizo zanziba kuna viongozi mzigo ndio tatizo Anonymousnoreply@blogger.com