tag:blogger.com,1999:blog-7325006544405952039.post7293678567279162161..comments2024-03-23T10:29:29.358+03:00Comments on ZanziNews : SMZ Imefutia Waraka wa Umiliki Heka Tatu Borafia Silima Juma Kwa Kukiuka Masharti ya Mkataba..zanzinews.comhttp://www.blogger.com/profile/01377285583706843106noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-7325006544405952039.post-22026115425985547872018-07-15T16:09:55.876+03:002018-07-15T16:09:55.876+03:00Kuna wakati Rais wa Zanzibar wa awamu ya tano Dk. ...Kuna wakati Rais wa Zanzibar wa awamu ya tano Dk. Salmin Amour Juma katika kusisitiza umuhimu wa sheria alikua akilirudia neno hilo mara tatu ili watu walielewe. Niwapongeze viongozi kwa hatua walizochukua ila niwaombe kuendelea na kazi ya kytoa elimu kwa umma juu ya matumizi sahihi ya ardhi zilizotolewa kwa matumizi maalum.Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/07230450121496355456noreply@blogger.com