Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Bishop Michael wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Zanzibar mara baada ya kuwasilisha salamu zao za Rambi Rambi kwa Makamu wa Rais walipofika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani kulia. Katibu Mkuu wa Dayosisi Nuhu Sallanya.
KITETO WAAHIDIWA KUPATIWA MWENYEKITI WA BARAZA LA ARDHI NA NYUMBA LA WILAYA
-
Na Munir Shemweta, KITETO
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo
ameahidi kupelewa kwa Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi na...
41 minutes ago
0 Comments