Mwenyekiti wa Kamati ya Baraza la Wawakilishi ya Hesabu za Serekali na Mashirika ya Umma (PAC),Ali Omar Shehe, akiwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni Utalii na Michezo, wakiwasili katika Ofisi za Gazeti la Zanzibar, kwa kazi za kamati kuchunguza hesabu za Serekali kwa Shirika hilo la Magazeti ya Serikali Zanzibar.
NINA IMANI KUBWA NA UTENDAJI KAZI WA OFISI YA MWANDISHI MKUU WA
SHERIA-MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI
-
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Hamza S. Johari amewataka Watumishi wa
Ofisi ya Mwandishi Mkuu wa Sheria kufanya kazi kwa Weledi na Ufanisi ili
kufiki...
9 hours ago
0 Comments