Rapa bora wa Extra bongo Kabatano (Kulia) akighani moja ya nyimbo zao bora huku akipewa sapoti na nguli wa muziki wa dansi Banza Stone mwana masanja wakati bendi hiyo ilipokuwa ikitumbuiza maeneo ya Sinza katika ukumbi wa Meeda jana usiku.
MBUNGE LIWAKA AWAHAKIKISHIA MAMALISHE KUTATULIWA CHANGAMOTO ZA MAJI, MASOKO
NA MIKOPO
-
Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Fadhili Liwaka,akisonga ugali kwenye moja ya
masoko ambayo mama nitilie wanaojihusisha na uuzaji wa vyakula.
Mbunge wa Jimbo...
34 minutes ago



0 Comments