UIMARISHAJI wa miundombinu ya barabara katika maeneo ya mjini imechangia kupunguza msongamano wa magari na kupunguza ajali za mara kwa mara, kama inavyoonekana pichani barabara ya kwa mchina ikifanyiwa matengenezo makubwa ya kuweka kiplefti baina ya barabara ya kwamchina na inayotokea Jangombe.ili kuimarisha njia hiyo, imekuwa na watumiaji wengi kutokana na mji kuwa mkubwa na ujenzi kuendelea nje ya mji.
CHITALE AHUBIRI UMOJA MKUTANO MKUU WA WADAU MADALE GROUP
-
*Na John Bukuku – Dar es Salaam*
*Kaimu DAS wa Wilaya ya Kinondoni, Bw. Salumu Chitale, aliyemwakilisha Mkuu
wa Wilaya, ametumia Mkutano wa Umoja wa W...
3 hours ago
2 Comments
Ni jambo jema, ila SMZ ifikirie pia kuweka mitaro pembezoni mwa barabara hizo.
ReplyDeleteHilis sijambo jema karine ya 21 bado barabara tunazo jenga,hazina viwango,mitaro ya kupita maji yamvua na majitaka. Tunajisifu tuna imarisha miundo mbinu huu ni wehu wa kufikiri ? au uvivu wakufikiri?
ReplyDelete