WAKATI skukuu ya Idd El fitr ikiwa imekaribia
wananchi na wafanyakazi mbali mbali, ambao wanapokelea mishahara yao Benki ya
watu wa Zanzibar (PBZ) Tawi la Chake Chake Pemba, wakiwa katika foleni kusubiri
kupatiwa huduma hiyo.(Picha na Abdi
Suleiman, PEMBA.)
UKAGUZI WA MABASI YA ABIRIA WAFANYIKA KUDHIBITI AJALI
-
Na Pamela Mollel Arusha
Jeshi la Polisi Nchini kupitia kikosi cha Usalama barabarani limefanya
ukaguzi maalumu wa mabasi ya abiria kwa ajili ya kudhibit...
5 hours ago
0 Comments