Kampuni ya Kichina inayofanya ujenzi katika uwanja wa kufurahisha watoto kariakoo ikiufanyia ukarabati mkubwa mtaro mwa maji machafu katika eneo hilo kuweza kusafirisha maji hayo ya mvua katika mtaro huo hadi katika mtaro mkubwa unaopeleka maji kilimani baharini.
Mafundi wakitandika makalavati kwa ajili kupitisha maji machafu na ya mvua katika mtaro huo.
VIP SOBER HOUSE YAZINDULIWA JIJINI DAR ES SALAAM ,MSANII MAARUFU WA
BONGOFLEVA NDANI YA MJENGO
-
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya
(DCEA), Aretas Lyimo, amefungua rasmi kituo kipya VIP Sober House
Kigamboni, jiji...
57 minutes ago
2 Comments
Huu mtaro kama inawezekana ungeunganishwa na pale Kijangwani inaonekana tumeshindwa kabisa kupata ufumvuzi Wa kutuama maji aibu kweli.
ReplyDeleteMtaro Architecture amefeli hapo. Anahitajo atumie water Cad otherwise I see an issue already by visible eye.
Delete