Meli ya Kitalii ya Princess Cruises ikiwa na Watalii 2000 kutoka Nchi mbalimbali Duniani ilitia nanga katika Bandari ya Zanzibar, kwa ajili ya Wageni hao kutembelea sehemu za Historia ya Zanzibar.
BALOZI LUVANDA APONGEZA MIKAKATI YA NEMC UTEKELEZAJI DIRA 2050
-
Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Balozi Baraka
Luvanda (kushoto) akipokelewa na Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la
Hifadhi n...
28 minutes ago
0 Comments