Muonekano wa moja ya majengo Matano ya Ghorofa ya Mradi wa Mj Mpya wa Kahani Jijini Zanzibar yakiwa na jumla ya nyumba 71 yamefunguliwa leo 12/10/2020 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein. na kuwakabidhi baadhi ya Wananchi Watatu funguo za Nyumba zao wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika eneo la byumba hizo kwahani.
MIRADI YA TASAF IMEACHA TABASAMU HALMASHAURI YA MERU
-
*Mkurugenzi Mtendaji amshukuru Rais Samia miradi 66 ikitelelezwa
Na Said Mwishehe,Michuzi Blog
HALMASHAURI ya Meru mkoani Arusha imetoa shukrani kwa Serika...
9 minutes ago
1 Comments
Asalmm alaikumm mim naomba no ya office zao hizi nyumba na piya je zinakodishuwa hizi nymba naomb jibu tafadhal
ReplyDelete