Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) akihojiwa na Karani wa Sensa, Anthony Mlegi (kulia), wakati akihesabiwa katika makazi yake kwenye zoezi la Sensa ya Watu na Makazi Wilaya ya Magu Mkoani Mwanza leo.
TRA MOROGORO YATUMIA MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE KUTOA ELIMU YA KODI
-
NA FARIDA MANGUBE , MOROGORO
Katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, mamlaka ya mapatao Tanzania
(TRA) Mkoa wa Morogoro imetumia maadhimisho hayo kut...
5 hours ago
0 Comments