Menaja Uhusiano wa Elimu kwa Mamlaka ya Masoko na Mitaji (CMSA) Ndg.Charles Shirima akizungumza katika ufunguzi wa Mafunzo kwa Wajasiliamali na Wanaotowa Elimu kwa Wajasiliamani Zanzibar, mafunzo hayo yaliyofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.
Menaja Uhusiano wa Elimu kwa Mamlaka ya Masoko na Mitaji (CMSA) Ndg.Charles Shirima akizungumza na Wajasiriamali na Wanaotowa Elimu kwa Wajasiriamali Zanzibar, mafunzo hayo yaliyotolewana (CMSA) katika Ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.
TBS YATOA LESENI 129 KWA WAZALISHAJI KANDA YA MAGHARIBI
-
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) Kanda ya Magharibi imefanikiwa kutoa
leseni 129 kwa wazalishaji wa bidhaa katika kanda hiyo, huku leseni 99 kati
ya hizo ...
2 minutes ago
0 Comments