Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi leo baada ya ibada ya sala ya Ijumaa amemtembelea nyumbani kwake Bi.Khadija Abbas Rashid ambaye alishiriki katika tukio la kihistoria la kuchanganya udongo wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar tarehe 26/4/1964 anayeishi Rahaleo, Mkoa wa Mjini Magharibi.
TANZANIA NA SOMALIA WASAINI MKATABA MASUALA YA KIUHAMIAJI
-
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya
Shirikisho ya Somalia wamesaini Hati ya Makubaliano kuhusu masuala ya
kiuhamiaji.
...
8 hours ago

0 Comments