Wachezaji wa Timu ya Jamhuri kutoka Kisiwani Pemba wakiwa katika mazoezi baada ya kuwasili Unguja kwa ajili ya Mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar "PBZ Premier League" na Timu ya Kundemba unaofanyika leo jioni katika Uwanja wa Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja.
DC NYAMWESE AHIMIZA UMOJA NA MSHIKAMANO WANANCHI WA HANDENI
-
*Na Mwandishi Wetu*
*Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Mhe. Salum Nyamwese, amewahimiza wananchi wa
wilaya hiyo kuendelea kudumisha umoja, mshikamano na utamad...
1 hour ago







0 Comments