6/recent/ticker-posts

Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar "PBZ Premier League 2023-2024"Kati ya Uhamiaji na Kundemba Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Mao Zedong Timu ya Uhamiaji Imeshinda Mchezo huo kwa Bao.1-0

Wapenzi wa Timu ya Kundemba wakihamasisha Timu yao wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar PBZ Premier League 2023-2024 mchezo uliofanyika Uwanja wa Mao Zedong, katika mchezo huo timu ya Uhamiaji imeshinda kwa bao 1-0. 












Post a Comment

0 Comments