RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi
wakiwasilimia Viongozi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) walipowasili katika ukumbi wa mkutano wa
Mlimani City Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kulifungua Kongamano la Wanawake
na Muungano lililofanyika leo 25-4-2024.
EWURA KANDA YA KASKAZINI YAWANOA VIONGOZI WA WILAYA YA KOROGWE
-
*Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kupitia Kanda ya
Kaskazini, leo tarehe 5 Machi 2026 imetoa elimu kwa viongozi wa Wilaya ya
Kor...
52 minutes ago














0 Comments