RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhi Kombe la Ubingwa wa Michuano ya
Muungano Cup kwa Nahodha wa Timu ya Simba Mohammed Hussein, baada ya kuifunga
Timu ya Azam katika mchezo wa Fainali uliyofanyika katika Uwanja wa New Amaan
Complex Zanzibar,Timu ya Simba imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.
DC NYAMWESE AHIMIZA UMOJA NA MSHIKAMANO WANANCHI WA HANDENI
-
*Na Mwandishi Wetu*
*Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Mhe. Salum Nyamwese, amewahimiza wananchi wa
wilaya hiyo kuendelea kudumisha umoja, mshikamano na utamad...
56 minutes ago













0 Comments