Mwenyekiti Wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe.Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele, akikagua mafunzo kwa vitendo ya Waandishi wasaidizi na waendesha vifaa vya biometriki (BVR) kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya mkoani Mbeya leo Desemba 24, 2024. Mkoa wa Mbeya, Iringa na Halmashauri ya Mpwapwa Mkoani Dodoma inataraji kuanza uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura Desemba 27 mwaka huu hadi Januari 02, 2025. (Picha na INEC).
Airtel Tanzania Inathibitisha Dhamira yake ya Kuunganisha na Kukuza
Ujumuishaji wa Kifedha Wakati wa Iftari ya Ramadan
-
Dar es Salaam, Machi 9, 2026.
KAMPUNI ya Airtel Tanzania Jumatatu iliandaa hafla maalumu ya Iftari ya
Ramadan jijini Dar es Salaam, ikiwakutanisha viong...
18 hours ago
0 Comments