Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akiwa katika picha ya pamoja na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Rashal Energies,Farhiya Warsame mara baada ya kumaliza mazungumzo jijini Dar es Salaam tarehe 06 Machi, 2025 kando ya Kongamano na Maonesho ya Petroli ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAPCE’25) linalofanyika kwa Siku Tatu jijini Dar es Salaam.
MIRADI SEKTA YA MAFUTA NA GESI ASILIA IKAMILIKE KWA WAKATI- DKT.MATARAGIO
-
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia Mafuta na Gesi Asilia,
Dkt. James Mataragio, ameitaka Menejimenti ya Shirika la Maendeleo ya
Petroli...
31 minutes ago
.jpg)
0 Comments