Afisa Mtendaji Mkuu wa Azam Media Sabrina Mohamedali (kulia)akiwapamoja na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Sunet Tv Hussein Seif Dadi wakionesha waraka wa Makubaliano waliosaini katika hafla ya Uzinduzi wa SUNET TV itakayounganishwa katika King'amuzi cha Azam Tv Chanal 417 hafla iliofanyika katika Ukumbi wa MaruMaru Hotel Forodhani Zanzibar.
Meneja Habari Matangazo na Matukio Azama Media Sabastian Mwaikambo akijibu maswali mbalimbali yalioulizwa katika hafla ya Uzinduzi wa SUNET TV itakayounganishwa katika King'amuzi cha Azam Tv Chanal 417 hafla iliofanyika katika Ukumbi wa MaruMaru Hotel Forodhani Zanzibar.
Msimamizi Mkuu wa Azam Media Yussuf Khamis Yussuf akitolea Ufafanuzi baadhi ya maswali yalioulizwa katika hafla ya Uzinduzi wa SUNET TV itakayounganishwa katika King'amuzi cha Azam Tv Chanal 417 hafla iliofanyika katika Ukumbi wa MaruMaru Hotel Forodhani Zanzibar.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Azam Media Sabrina Mohamedali akizungumza katika Uzinduzi wa SUNET TV itakayounganishwa katika King'amuzi cha Azam Tv Chanal 417 hafla iliofanyika katika Ukumbi wa MaruMaru Hotel Forodhani Zanzibar.
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Uzinduzi wa SUNET TV itakayounganishwa katika King'amuzi cha Azam Tv Chanal 417 hafla iliofanyika katika Ukumbi wa MaruMaru Hotel Forodhani Zanzibar.
Mkurugenzi Mstaafu wa Habari Maelezo Hassan Mitawi akizungumza katika hafla ya Uzinduzi wa SUNET TV itakayounganishwa katika King'amuzi cha Azam Tv Chanal 417 hafla iliofanyika katika Ukumbi wa MaruMaru Hotel Forodhani Zanzibar.
Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Utangazaji Hijji Dadi Shajak akizungumza katika hafla ya Uzinduzi wa SUNET TV itakayounganishwa katika King'amuzi cha Azam Tv Chanal 417 hafla iliofanyika katika Ukumbi wa MaruMaru Hotel Forodhani Zanzibar.
0 Comments