Waziri wa Vijana,Ajira na Uwezeshaji Zanzibar Mhe.Shaban Ali Othman akikata utepe kuifungua Hoteli ya Fort View Stone Town Zanzibar ilikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Mika 62 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, uzinduzi huo uliyofanyika leo 28-12-2025, (kulia kwake) Muwekezaji wa Hoteli hiyo Bhash Valambia na kushoto kwake) Mstahiki Meya Baraza la Manispa Mjini Mhe.Mohammed Ibrahim Raza.
Waziri wa Vijana,Ajira na Uwezeshaji Zanzibar Mhe.Shaban Ali Othman (kulia) akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Hoteli ya Fort View Stone Town Zanzibar, (kushoto) Katibu Mkuu Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Dkt. Aboud Suleiman Jumbe, ufunguzi huo uliyofanyika leo 28-12-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Waziri wa Vijana,Ajira na Uwezeshaji Zanzibar Mhe.Shaban Ali Othman akimsikiliza Muwekezaji wa Hoteli ya Fort View Bhash Valambia baada ya kuifungua rasmin hoteli hiyo iliyoko katika eneo la Forodhani Mji Mkongwe wa Zanzibar, wakati ikitembelea, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, ufunguzi huo uliyofanyika leo 28-12-2025.















0 Comments