6/recent/ticker-posts

Waziri wa Vijana, Ajira na Uwezeshaji Zanzibar Mhe.Shaban Ali Othman Ameweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Barabara ya Muungoni Mkoa wa Kusini Unguja

Waziri wa Vijana ,Ajira na Uwezeshaji Shaaban Ali Othman (Kulia)akikunjuwa Kitambaa kuashiria Uwekaji wa Jiwe la Msingi  Bara bara ya Muungoni Skuli hadi Pwani Duta yenye Kilomita (2.65KM)na Kutoka Pwani Duta  hadi Shashamane yenye kilomita (2.25KM)hafla iliofanyika Muungoni Mkoa wa Kusini Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar yakiwa na Kauli mbiu "Amani na Umoja Ndio Dira ya Maendeleo yetu".
Waziri wa Vijana ,Ajira na Uwezeshaji Shaaban Ali Othman( katikati)akiwa pamoja na Viongozi mbalimbali wakitembea katika Barabara Muungoni  baada ya kuweka Jiwe la Msingi yenye Urefu wa kilomita kilomita   (2.65KM) Muungoni hadi Pwani Duta na  (2.65KM)Pwani Duta hadi Shashamane hafla   iliofanyika Muungoni Mkoa wa Kusini Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar yakiwa na Kauli mbiu "Amani na Umoja Ndio Dira ya Maendeleo yetu".
Waziri wa Vijana ,Ajira na Uwezeshaji Shaaban Ali Othman akitoa hotuba katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Bara bara ya Muungoni Skuli hadi Pwani Duta yenye Kilomita (2.65KM)na Kutoka Pwani Duta  hadi Shashamane yenye kilomita (2.25KM)hafla iliofanyika Muungoni Mkoa wa Kusini Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar yakiwa na Kauli mbiu "Amani na Umoja Ndio Dira ya Maendeleo yetu"
.PICHA NA YUSSUF SIMAI,MAELEZO ZANZIBAR.23/12/2025.

Post a Comment

0 Comments