Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan
akizungumza na Balozi wa Singapore nchini Tanzania Mheshimiwa Douglas Foo,
tarehe 27 Februari, 2026 Ikulu, Jijini Dar es Salaam.
Pamoja na mambo mengine mazungumzo hayo yalilenga kuimarisha Uhusiano baina nchi hizi mbili haswa katika masuala ya teknolojia,elimu, afya na miundombinu
: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kizungumza na Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika Profesa Mohamed Y. Janabi, tarehe 27 Februari, 2026 Ikulu, Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Taasisi isiyo ya Kiserikali la Doris Mollel Foundation, Bi. Doris Mollel, tarehe 27 Februari, 2026 Ikulu, Jijini Dar es Salaam.
:
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan
kizungumza na Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika Profesa
Mohamed Y. Janabi, tarehe 27 Februari, 2026 Ikulu, Jijini Dar es Salaam.

.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)
0 Comments