Menu

Friday, June 10, 2011

MTETEMEKO WA ARDHI WAUTIKISA MJI WA ZANZIBAR


Mwandishi wa Habari Zanzibar Leo Mwanajuma Abdi akimhoji mmoja wa wananchi baada ya kutokea khofu ya kutaka kuanguka jengo la Idara ya Kilimo Forodhani



WAFANYAKAZI Idara ya Kilimo jengo la Forodhani wakiwa nje ya jengo baada ya kukumbwa na mtetemeko ulio na kipimo cha 4.8 katika Richter Scale
Wafanyakazi wa Idara ya Kilimo  wakiwa nje ya Jengo baada ya kuanza kudata

No comments:

Post a Comment