Habari za Punde

Kwa Taarifa Zaidi za Ndg Yetu Mwanaid Vuai Saleh Kuhusu Msaada.

Kijana. Mwanaid Vuai Saleh,  mwenye umri wa miaka 26, Mkaazi wa Chumbuni Wilaya ya Mjini  Zanzibar, ambaye amapata ajali ya moto akiwa katika kazi za nyumbani. 

Amaomba msaada kwa ajili ya kupata matibabu nje ya Nchini India, ili kupata matibabu zaidi ili kuweza kurejesha hali yake, Gharama ya matibabu yake inahitajika Shilingi Milioni 15, kuweza kumsafirisha nchini India. ilimkupata matibabu . Kwa sasa yuko katika hospitali ya Jeshi Bububu anaendelea na Matibabu hayo akisubiri misaada ya Wasamaria wema ili kumuwezesha kupata Fedha kwa ajili ya matibabu yake nchini India.

 Kwa Mwananchi yoyote mwenye msaada wake taratibu za kufungua akauti zinafanywa na Jamaa katika Benki ya Watu wa Zanzibar(PBZ ) kwa misaada unaweza kufika hospitalini hapo kutoa. Unaweza kuwasiliana na Mama yake Mzazi Bi Jina Haji Khamis, unaweza kuwasiliana kwa Namba hii 0773 569466, anakaa na Mwanaidi Hospitalini hapo.Bububu jeshini.  

Kwa maelezo Zaidi unaweza kuwasiliana na Ndugu wa Mwanaidi 
Ali Mkali  kwa hiyo No0777 469345
Pavu Omar NO 0779 485306
Pia unaweza kuwasiliana na Mdau wa Blog Hii Othman Maulid
No 0777424152.

   

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.