Menu

Thursday, November 13, 2014

Unaweza kuwasiliana na Rais Kikwete kumjuulia hali


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Profesa Jakaya Kikwete ametoa namba yake maalum kwa wananchi waweze kumtumia ujumbe wa SMS kumjulia hali na kumpa pole, Mhe. Rais atapokea ujumbe wako na kuujibu

No comments:

Post a Comment