Menu

Friday, July 10, 2015

Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CCM kesho

 Vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM wakipakia mikoba yenye makabrasha ya mkutano maalum wa CCM Taifa 2015 unaotarajiwa kuanza kesho Mjini Dodoma katika ukumbi mpya wa uliozinduliwa na Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,[Picha na Ikulu.]
 Vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM wakipakia mikoba yenye makabrasha ya mkutano maalum wa CCM Taifa 2015 unaotarajiwa kuanza kesho Mjini Dodoma katika ukumbi mpya wa uliozinduliwa na Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete,[Picha na Ikulu.]
 Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakibadilishana mawazo wakati vikao mbali mbali vya uteuzi wa majina 5 ya Mgombea Urais wa Tanzania vifanyika Mjini Dodoma,[Picha na Ikulu.]

Viongozi wa Wastaafu wa Chama cha Mapinduzi wakiwa katika Mkutano maalum wa Kamati Kuu ya CCM Taifa wakati wa kuteuwa wagombea watano (5) ambao wanagombea nafasi ya Urais wa Tanzania, kikao hicho kilifanyika leo katika Makamo Makuu ya CCM Mjini Dodoma.[Picha na Ikulu.]


No comments:

Post a Comment