MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa chama cha AFP
Mhe:Saidi Soud Saidi, akizungumza na waandishi wa habari kutoka katika vyombo
mbali mbali vya habari, mara baada ya kupiga kura katika kituo chake cha
Kupigia kura Mgogoni Jimbo la Wawi Kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
Menu
▼
Sunday, October 25, 2015
Mgombea urais wa AFP akipiga kura Pemba
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa chama cha AFP
Mhe:Saidi Soud Saidi, akigongewa muhuri karatasi yake ya kupigia kura na
mawakala wa tume ya uchagzui Zanzibar, baada ya kufika katika kituo chake cha
Kupigia kura Mgogoni Jimbo la Wawi Kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa chama cha AFP
Mhe:Saidi Soud Saidi, akitia tiki karatasi yake ya kupigia kura ya kupigia kura
baada ya kufika katika kituo chake cha Kupigia kura Mgogoni Jimbo la Wawi
Kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman,
PEMBA.)
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa chama cha AFP
Mhe:Saidi Soud Saidi, akihakikiwa jina lake na wakala wa NEC mara baada ya
kufika katika kituo chake cha Kupigia kura Mgogoni Jimbo la Wawi Kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment