Menu

Monday, April 25, 2016

Full Moon Party Kwendwa Rock Nungwi Zanzibar.






Wasanii wa Kikundi cha Sarakasi Jambo Brother Stone Town Zanzibar wakionesha umahiri wao wa mchezo wa sarakasi katika usiku wa Full Moon Patry Kendwa Rocky Zanzibar.














Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya wa Kundi la THT Amadai akitowa burudani wakati wa usiku wa Full Moon Party Kendwa Rocky Nungwi Zanzibar  
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya wa Kundi la THT Black Farahani akitowa burudani wakati wa usiku wa Full Moon Party Kendwa Rocky Nungwi Zanzibar  





Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya wa Kundi la THT Msami Baby akitowa burudani  katika jukwaa wakati wa usiku wa Full Moon Party Kendwa Rocky Nungwi Zanzibar  







No comments:

Post a Comment