BIASHARA ya madafu imekuwa maarufu visiwani,
ingawa aina ya minazi inayoangushwa madafu sio ile maalumu jambo ambalo
limetajwa kuchangia kwa kiasi kikubwa kupanda kwa bei ya nazi ingawa pia sababu
nyengine ni kukatwa, pichani mzee wa Mkanyageni akiwahudumia wateja wake , (Picha na Haji Nassor, Pemba).
No comments:
Post a Comment